CENPA-275~02 |
Save page Remove page | Previous | 2 of 3 | Next |
|
small (250x250 max)
medium (500x500 max)
Large (1000x1000 max)
Extra Large
large ( > 500x500)
Full Resolution
All (PDF)
|
This page
All
|
Loading content ...
^ HABAftI)?&)8&NU CHAM CHA UPINDUZI WA MOZAMBIQUE r 5-fi^T MOZAMBIQUE AFRlbAN NATIONAL UNION (MANU) Congress ya MANU Congress ya MANU imefanywa Mombasa, Kenya, tarehe 9 Septemba, 1965. Wananchi v/a Mozambique (Msumbiji) waliokutana Mombasa kwa ajili ya Congress wamefanya kazi nzuri -na ya bidii. Wananchi wajumbe wa MANU walikubaliana na siasa ya Kamiti Kuu (Comite Central), slasa hii iliyoanza vita kule Mozambique, tarehe 23 Augosto, mwaka 1964, wakati Bw. Lucasi Fernandes Mbunde na wananchi wajeshi 1 wa MANU walipoanza upiiidushi kwa kutua wakoloni wareno kule Nangololo na Muidumbe, mjimbo wa Cabo Delgado. Congress ya MANU ilikubaliana ikaambia Kamiti Kuu kufanya bidii na kusaidia wajeshi wa MANU kule Mozambique ya Kaskazini kufanya vita kubwa zaidi mpaka kuondelewa wareno wote. Tena Congress iliambia Kamiti Kuu kufanya bidii ya kueleza watu wa kusini ya Mozambique n"a watu v/a sehemu ya katikati na kutatarisha njia ya kuanza vita katika sehemu zile. Tena Congress iliambia Kamiti Kuu kufanya umoja na UNAMI kwa haraka na kutafuta njia ya kufanya umoja wa vyama vyote vyaMozambique vinayotaka kweli kupigana na wareno kwa kupata uhuru v/a Mozambique; lakini uhuru wa kweli na kuondolewa Wakoloni na waimperialista wote; wareno na tena waamerikani, v/aingereza, na waisraeli. • - Congress ya MANU ilikubaliana ikasema kwamba'>d'iyo lazima kufanya umoja v/a vyama vinayotaka kweli kupigana uhuru wa Mozambique. Terra Congress-ilionyesha njia ya kufanya umoja vizuri.: - a) Lazima mkutano wa viongozi vya vyama vyote vya kiMozambique kuzungumza na kukubaliana juu ya njia ya kufanya umoja. b) Lazima vyama vyote' vitakubaliana na njia ya uongozi wa kidemokrati. Lazima bado ya kufanya umoja wa vyama, wajumbe Wa v/anachama wote watapata mkutano na kuchagua siasa na viongozi ya muungano. c) Lazima vyama vy'bte vitakubaliann kv/amba v/atu wote na kabila yote v/a Mozambique wako sav/a. Mara nyingi tumeona discrimination na ubaguzi katika vyama.. vengine vya Mozambique, hasa katika FRELIMO. Tumeona watu wabovu v/anaojisema viongozi nn wali'ofanya ubaguzi na waliopinga.watu v/a kaskazini ya Mozambique na tena Waislamu. Tumeona watu kama Mondlane, karna Mar«elino Dos Santos, kama Simango, karna Nungu v/aliofanya ubaguzi deddi v/aMakonde,' deddi waMakua', waNyasa na'waislamu, na v/atu wote wa kaskazini v/'a Mozambique. Wanataka kutenda sisi kama nyama. Wanapenda kabila yao* tu. Lakini hisi Katutaki michezo yao. Congress ya MANU inapinga mawazo v/a wale madaraka. Congress ya MANU imepinga ukabila v/ote,#na ubaguzi wote na uv/evi wa wale madaraka wanayopenda kula pesa tu na kujifanya maisha mzuri kule Dar es-Salaam na kuolev/a mabibi v/azungu na kunya pombe na whisky na kununua nyumba kubwa. kule Oyster Bay, Dar es-Salaam katika mahali pa waziri na kuacha wananchi kufa ya njaa wakati v/anapopata fedha kutoka nchi za nje kwa ajili y'a v/atu v/aMozambique na wanakula pesa, MANU inapinga v/atu wabovu naxma hiyo. Congress ya MANU imechagua KaMiti'.-Kuu mpya. Watu wapya v/ameingia Kamiti na v/atu wengine'.'wamebadilisha vjteo vyao. Bw. Seif Al-Aziz Leo Mi las amechaguliwa kama rais wa MANU. Congress imemchagua kwa sababu wanaMozambique wote wanamjua kama rntu anayo akili na anay'ependa nchi yake Mozambique na watu wote na kila kabila v/a Mozambique bila ubaguzi.'. Tena wananchi v/ote wanajua kazi aliofanya kwa ajili ya Mozambique kutoka. zamani. if. 0 0 * * >;: # 0 0 * * >(« * * * * >{« S 0 ♦ * * 0 * >* * * *: * ♦ * * * * 0 * ♦ *' ♦'•♦ * ■':■ 0 * 4141 # ♦ * 0 0 0 0 00 00 0 0 i00 0 0 000 0 0 0 00000 t * * * ■:• $ • * MANU INAFANYA VITA NDANI YA MOZAMBIQUE Wajeshi wa MANU wanafanya kazi kwa bidii. Vita vya u^indushi inaendelea.. Mv/ezi v/a Septemba wajeshi wa MANU wameua wajeshi wareno 11?. Sehemu ya Muidumbe, Cabo Delgado waliua. v/areno 67. Sehemu ya Zambezia, wajeshi wareno 7 na jeshi police 3 na Chefe de posto 1. Sehemu ya Niassa vzaliua jeshi wareno 30. Sehemu ya Distriifco de Mozambique (NAnpula) Waliua wareno 23. Kutoka. 1 Oktoba mpaka 15 Oktoba, jeshi wa MANU waliua ?£reno 79. UBAGUZI NA UKOLONI KATIKA FRELIMO Eduardo Mondlane, rais ya chama cha FRELIMO sasa anapeleka v/areno zaidi kwa Tanzania ya kuingia FRELIMO. Tena zaidi ya v/amulato, w'dugu za Marcelino Dos Santos wanakuja. Mondlane anataka kufanya serikali ya kicheza, ya v/areno na. wamulato Kwa sababu anaogopa wananchi waMo'zambique na anafanya kazi ya wazehgu v/engine basi. Hataki v/ananchi v/a Mozambique. WATOTO WA MANU WATASOMA Natoto wqMANU 16 wanakwendq nchi ya kirafiki kuso-:ia. «engine watnkwenda halafu. AITU
Object Description
Description
Title | CENPA-275~02 |
Filename | CENPA-275~02.tiff |
Full text | ^ HABAftI)?&)8&NU CHAM CHA UPINDUZI WA MOZAMBIQUE r 5-fi^T MOZAMBIQUE AFRlbAN NATIONAL UNION (MANU) Congress ya MANU Congress ya MANU imefanywa Mombasa, Kenya, tarehe 9 Septemba, 1965. Wananchi v/a Mozambique (Msumbiji) waliokutana Mombasa kwa ajili ya Congress wamefanya kazi nzuri -na ya bidii. Wananchi wajumbe wa MANU walikubaliana na siasa ya Kamiti Kuu (Comite Central), slasa hii iliyoanza vita kule Mozambique, tarehe 23 Augosto, mwaka 1964, wakati Bw. Lucasi Fernandes Mbunde na wananchi wajeshi 1 wa MANU walipoanza upiiidushi kwa kutua wakoloni wareno kule Nangololo na Muidumbe, mjimbo wa Cabo Delgado. Congress ya MANU ilikubaliana ikaambia Kamiti Kuu kufanya bidii na kusaidia wajeshi wa MANU kule Mozambique ya Kaskazini kufanya vita kubwa zaidi mpaka kuondelewa wareno wote. Tena Congress iliambia Kamiti Kuu kufanya bidii ya kueleza watu wa kusini ya Mozambique n"a watu v/a sehemu ya katikati na kutatarisha njia ya kuanza vita katika sehemu zile. Tena Congress iliambia Kamiti Kuu kufanya umoja na UNAMI kwa haraka na kutafuta njia ya kufanya umoja wa vyama vyote vyaMozambique vinayotaka kweli kupigana na wareno kwa kupata uhuru v/a Mozambique; lakini uhuru wa kweli na kuondolewa Wakoloni na waimperialista wote; wareno na tena waamerikani, v/aingereza, na waisraeli. • - Congress ya MANU ilikubaliana ikasema kwamba'>d'iyo lazima kufanya umoja v/a vyama vinayotaka kweli kupigana uhuru wa Mozambique. Terra Congress-ilionyesha njia ya kufanya umoja vizuri.: - a) Lazima mkutano wa viongozi vya vyama vyote vya kiMozambique kuzungumza na kukubaliana juu ya njia ya kufanya umoja. b) Lazima vyama vyote' vitakubaliana na njia ya uongozi wa kidemokrati. Lazima bado ya kufanya umoja wa vyama, wajumbe Wa v/anachama wote watapata mkutano na kuchagua siasa na viongozi ya muungano. c) Lazima vyama vy'bte vitakubaliann kv/amba v/atu wote na kabila yote v/a Mozambique wako sav/a. Mara nyingi tumeona discrimination na ubaguzi katika vyama.. vengine vya Mozambique, hasa katika FRELIMO. Tumeona watu wabovu v/anaojisema viongozi nn wali'ofanya ubaguzi na waliopinga.watu v/a kaskazini ya Mozambique na tena Waislamu. Tumeona watu kama Mondlane, karna Mar«elino Dos Santos, kama Simango, karna Nungu v/aliofanya ubaguzi deddi v/aMakonde,' deddi waMakua', waNyasa na'waislamu, na v/atu wote wa kaskazini v/'a Mozambique. Wanataka kutenda sisi kama nyama. Wanapenda kabila yao* tu. Lakini hisi Katutaki michezo yao. Congress ya MANU inapinga mawazo v/a wale madaraka. Congress ya MANU imepinga ukabila v/ote,#na ubaguzi wote na uv/evi wa wale madaraka wanayopenda kula pesa tu na kujifanya maisha mzuri kule Dar es-Salaam na kuolev/a mabibi v/azungu na kunya pombe na whisky na kununua nyumba kubwa. kule Oyster Bay, Dar es-Salaam katika mahali pa waziri na kuacha wananchi kufa ya njaa wakati v/anapopata fedha kutoka nchi za nje kwa ajili y'a v/atu v/aMozambique na wanakula pesa, MANU inapinga v/atu wabovu naxma hiyo. Congress ya MANU imechagua KaMiti'.-Kuu mpya. Watu wapya v/ameingia Kamiti na v/atu wengine'.'wamebadilisha vjteo vyao. Bw. Seif Al-Aziz Leo Mi las amechaguliwa kama rais wa MANU. Congress imemchagua kwa sababu wanaMozambique wote wanamjua kama rntu anayo akili na anay'ependa nchi yake Mozambique na watu wote na kila kabila v/a Mozambique bila ubaguzi.'. Tena wananchi v/ote wanajua kazi aliofanya kwa ajili ya Mozambique kutoka. zamani. if. 0 0 * * >;: # 0 0 * * >(« * * * * >{« S 0 ♦ * * 0 * >* * * *: * ♦ * * * * 0 * ♦ *' ♦'•♦ * ■':■ 0 * 4141 # ♦ * 0 0 0 0 00 00 0 0 i00 0 0 000 0 0 0 00000 t * * * ■:• $ • * MANU INAFANYA VITA NDANI YA MOZAMBIQUE Wajeshi wa MANU wanafanya kazi kwa bidii. Vita vya u^indushi inaendelea.. Mv/ezi v/a Septemba wajeshi wa MANU wameua wajeshi wareno 11?. Sehemu ya Muidumbe, Cabo Delgado waliua. v/areno 67. Sehemu ya Zambezia, wajeshi wareno 7 na jeshi police 3 na Chefe de posto 1. Sehemu ya Niassa vzaliua jeshi wareno 30. Sehemu ya Distriifco de Mozambique (NAnpula) Waliua wareno 23. Kutoka. 1 Oktoba mpaka 15 Oktoba, jeshi wa MANU waliua ?£reno 79. UBAGUZI NA UKOLONI KATIKA FRELIMO Eduardo Mondlane, rais ya chama cha FRELIMO sasa anapeleka v/areno zaidi kwa Tanzania ya kuingia FRELIMO. Tena zaidi ya v/amulato, w'dugu za Marcelino Dos Santos wanakuja. Mondlane anataka kufanya serikali ya kicheza, ya v/areno na. wamulato Kwa sababu anaogopa wananchi waMo'zambique na anafanya kazi ya wazehgu v/engine basi. Hataki v/ananchi v/a Mozambique. WATOTO WA MANU WATASOMA Natoto wqMANU 16 wanakwendq nchi ya kirafiki kuso-:ia. «engine watnkwenda halafu. AITU |
Archival file | Volume27/CENPA-275~02.tiff |